Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Self parking hata mark x ya 2004 300g premium(JDM) inayo na inakuja Kama Standard feature inaitwa Intelligent Parking Assist System (IPAS).
Ewaaaa
Alisikika akisema mmiliki mmoja wa Toyota.hayanaga spea haya
Hii ndiyo ile T8 supercharged na turbocharged?
Hakuna mkuu. Wenye hela ya kuagiza gari hio wanawaza VXHii ndiyo ile T8 supercharged na turbocharged?
Halafu hivi hapa Minazini hakuna hata mtu aliyeingiza hili toleo la pili la XC90?
Kweli aisee. Yaani hata wahindi na waarabu magari kunoga hawana?Hakuna mkuu. Wenye hela ya kuagiza gari hio wanawaza VX
Ipo siku.Kweli aisee. Yaani hata wahindi na waarabu magari kunoga hawana?
Tutafute pesa tu aisee, ili tuingize toleo hili.