Mkuu vipi kuhusu subaru foresta kama nikiagizia kupitia kwenu itagharimu kiasi gani?
Subaru Forester ya kuanzia Mwaka 1999 mpaka 2006 bei yake inakua kati ya 12,000,000 mpaka 13,000,000

Gari hizi ni imara na nzuri zaidi kwa safari ndefu. Pia vipuri vyake ni madhubuti

Karibuni sana, bei zetu ni nafuu sana.

#KIMOMWE MOTORS- Save Money, Save Time
 
Mbona bei sawa na Ist?

Vp kuhusu Premio cc 1500-1700? Za mwaka 2003-2008?
 
Mbona bei sawa na Ist?

Vp kuhusu Premio cc 1500-1700? Za mwaka 2003-2008?
Lengo letu sio kutengeneza faida kubwa kiongozi ndio sababu bei zetu ni za chini sana na pia faida ya kuagiza na sisi ni kua tunashirikia na kampuni za Kijapani zaidi ya 10 ambazo hutupatia wigo mpana wa kumpatia mteja kilicho bora kwa gharama nafuu zaidi.

IST kwetu utaipata kati ya 10,500,000-11,300,000. Kwa PREMIO hizo ulizoulizia zinacheza kati ya 13,000,000-13,500,000
 
Kwa mahitaji ya gari bora ya kutembelea, agiza gari yako na Kimomwe Motors Tanzania Limited

Nissan X- Trail ya 2003
Cc: 1990
Seats: 5
4while drive
Km: 82,000
Bei: 16,000,000 mpaka mkononi
Muda wa kusubiri: Siku 30-35

Gari hii ulaji wake wa mafuta ni wastani, madhubuti kwa barabara zetu za lami na vumbi pia, nzuri kwa safari ndefu, mafundi wake wanapatikana, vipuri vyeke vinapatikana kwa gharama za juu kiasi (ila ukifunga hudumu kwa mda mrefu), pia injini, gia box na body yake huvumilia shida kwa wastani. (Zinahitaji uangalizi kila unapohisi tatizo). Pia huuzika kwa gharama ya chini zaidi pindi utapohitaji kuiuza.

Mawasiliano: 0754 455865

Ofisi zetu zipo Magomeni Mapipa.
 
Kwa mahitaji ya gari nzuri ya kutembelea, agiza gari yako na Kimomwe Motors Tanzania Limited

Toyota Isis ya 2007
Cc: 1990
Seats: 7
2while drive
Km: 123,000
Bei: 11,300,000 mpaka mkononi
Muda wa kusubiri: Siku 30-35

Gari hii ulaji wake wa mafuta ni wastani, madhubuti kwa barabara zetu hasa za lami, nzuri kwa safari, mafundi wake ni wengi, vipuri vyeke vinapatikana kwa gharama za wastani, pia injini, gia box na body yake huvumilia shida.

Mawasiliano: 0754 455865

Ofisi zetu zipo Magomeni Mapipa.
 
Agiza gari bora kwa bei punguzo kupitia KIMOMWE MOTORS TANZANIA LIMITED.

Aina ya gari: Toyota IST
Mwaka: 2005
Cc: 1490
Injini: 1NZ- VVTi
Mafuta: Petrol
Umbali: 71,000km
BEI: 10,000,000

Gari hii hufaa zaidi kwa matumizi binafsi. Ni gari imara na inayohimili barabara zetu, vipuri vyake ni nafuu na vinapatikana, ulaji wa mafuta ni wa chini.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0754455865 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa
 

Attachments

  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkfhVwlgPiLm8&w=320.jpeg
    7.7 KB · Views: 74
  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkkQ1Pjb7Rh4E&w=320.jpeg
    7.8 KB · Views: 73
  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkfhVwlgPiLm8&w=320.jpeg
    7.7 KB · Views: 65
  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkg669tPrePSU&w=320.jpeg
    7.9 KB · Views: 66
  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkgSeKCo4aUpH&w=320.jpeg
    6 KB · Views: 64
  • 23FCi0VbnvRhXb4iHollYQZNpedeNzkndtFIQWFuE2&w=320.jpeg
    10.2 KB · Views: 68
A

Aisee Mbona bei ni cheap Sana? Yan Gari mzuri hivi ni milion 2?
 
Eti Kimomwe Motors, Magomeni Mapipa? Kama ni kuagiza gari kutoka Japan ni kampuni zenye hadhi kama BeForward, Tradecarview, SBT etc, wana ofisi zao au unaweza order online na stock ni kubwa siyo IST moja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…