Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

kumbe kina mulokozi pande hizo hawakosi duh,
 
Mkuu nimekukubali sana, historia nzuri sana
 
Meya Jackob wa Ubungo,nimesoma nae UDSM kozi moja,alikuwa kinara wa migomo "MAKUNJI" YOOTE,alikuwa.mstar wa mbele kabisa wakat wa mgomo by then alikuwa na mwili wa mazoez.

Then Silinde as "Hall mate" pale Hall Two,nae alikuwa kinara wa migomo,mhamasishaji wa Revolution Square,alifukuzwafukuzwa sana chuo ila mwisho wa siku alihitimu.

Pia Mtatiro,huyu tulimkuta as Waziri Mkuu wa serikali ya DARUSO,ane alisimamia migomo kadhaa kabla hajamaliza mmoja wa waziri wake wa Mikopo alikuwa akiitwa "BUSH" alikuwa mtata ssanaaa,leo hii ni mwajiriwa wa UDSM na ndo msimamizi wa hostel mpya za JPM pale UDSM
 
Wewe FARAS kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisoma na JPM jamaa alikuwa anakula sana maharage

Mwalimu wa hesabu akipita kukagua homework jamaa anajibana kwa mfumo wa kifutu anatoa kitu hicho mwalimu anarudi mwenyewe hapiti tena upande huo

Sijui kwa sasa Juma Maharage yuko wapi
Watu wengine wanaforce kuchekesha lakini hawajui
acha kujilazimisha kuandika upupu ilihali nafsi yako inakusuta, andika mambo ya maana sio ujinga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] hapo stori zake ni vita tu
 
Me nimesoma na mzee wa Msoga primary 1968. Jamaa alikuwa ana akili za kuzaliwa, walimu wakikosa jibu wanamfata awafanyie calculation. Jamaa nilichoamini kuwa genius ni alipotufundisha almentary canary Yaani darasa zima hatujawahi kulisikia hili neno ila alitupigia pindi tukaelewa na nalikumbuka hadi Leo. Jamaa alikuwa bitozi sana kwa siku anaoga hata Mara nane akiguswa tu mbio kuoga.

Yeye stori zake nyingi ni bata bata tu, Yeye ndo mwanafunzi WA kwanza kula pizza shuleni. alisema akiwa Rais kila mtu atakuwa mpiga dili tu pesa nje nje
 
Thread nzuri
Nashukuru Mungu Nilipata Bahati ya Kusoma Na ndg zitto kabwe pale udsm from 1999-2003 he was a great lad na Mtu mwenye maono. Japo Hakuwa kipanga sana class na ila alimake it inlife na Kuwa Kiongozi mzuri na mwanasiasa machachari Ni hayo tu kwaleo.
 
Mm nimesoma na Angela Kairuki alikuwa mzuri sana wa sura na tabia kuwazd wengne darasani tatzo alikuwa ana nidham ya woga, Headmaster alianza kanchezo ketu na yeye kwa hyo akawa anajifanya anajpendekekeza kwa master na ana nidham kumbe kuna ktu nyuma ya pazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…