Asilimia kubwa unakuta wanatengwa na familia zao mara baada ya kugundulika kuwa wana act porn. Tbh hata kama ni wewe uwe na dada/binti wako famous kwa kuact porn ie analiwa ndogo live na wajuba kama kina LT na mike adriano, utajiskiaje au utapenda hata uongozane nae?
Wengi wanaingia kwenye hii industry kutokana na tamaa ya pesa, nlicheki interview moja ya Uk pornactress anaitwa kiki minaj, alikuwa anasimulia challenges wanazokutana nazo kwenye porn na maisha ya kawaida, alisema kuwa katika maisha ya kawaida ni ngumu kwa wao kuwa na wapenzi wa kudumu na hata akitokea mtu anataka kuwa na mahusiano nae , akija kugundua tu kuwa ni pornactress,mahusiano yanakufa. Hata akisema kuwa anakubaliana na hali ya kuwa yy ni pornactress bado mfano akimuaga kuwa anaenda kazini (kunyanduliwa) unakuta mwanaume anakasirika.