Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

IMG_20220403_164045.jpg
IMG_20220403_164051.jpg
 
Kuna mtu alifungua uzi humu kusema wanawake wasivae bracelets 'culture' zenye rangi ya Tanzania maana anaihusisha na biashara ya kujiuza. Akasema wajasiliamwili wanafanya hivyo ili iwe kama kithibitisho kama video waliojirekodi na ya kibongo kweli. Sikukubaliana na wazo lake kwamba hiyo ndio picha inayojengeka kwa kila mtu kwa sababu wapo wadada wanaovaa kwa urembo na uzalendo tu kama ilivyokusudiwa. Na wapo wanaume wengi wakiona dada kavaa culture hawafikirii kabisa suala la kuwa huyo dada anajiuza.

Nasema hivyi kwa sababu hiyo 'peace' sign ni common pose sana kwa picha na huenda wadada wengi wanafanya hivyo kwa kupiga picha tu bila kujua ina maana gani kwa kundi fulani la watu, aka wadau wa hiyo sekta. Ni sawa na suala la vikuku miguuni kwa wadada. Wengi wanavaa kama urembo ila kuna wengine wanaitumia kama ishara kuwa wanauza mwili na akivaa mguu wa kulia anamaanisha anatoa k, wa kushoto anamaanisha anatoa t.


Mwisho, nashukuru nimejifunza kitu. Signs hidden in plain sight kama kwenye Da Vinci code 😀😀😀
 
Back
Top Bottom