Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Tumeni picha za watoto warembo wa kitanzania ili hata ukimuelewa unajua kidogo unaweza kumpata sasa hao wengine ni tubaki kumeza mate na kudind!shana tu hapa
Naaaam nakazia na Mimi hapa hapa, unammezea Mate Mtu yupo Canada huko na wewe upo Buza hata Mpango wa kwenda Kenya tu huna[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Ulifanya uamuzi mzuri. Wanakulaga ela ya nauli hao na ungechezea block juu. Mimi kuna mmoja yupo zanzibar hapo. Ananiambia haji dar mpaka nimtumie nauli, halafu tumekutana tu Badoo. Nimekimbia mbio ndefu mno...
Hahaha pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…