Mbona hii kitu kama exhaust ya gari la engine ya Diesel!? [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mizigo kama hii..hua inachanganya akili yangu kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Nimekusoma lakini ndugu hizi picha sizipigi mwenyewe, nakutana nazo kama zilivyo.Qwy
Ubora wa pics mtu wangu ubora wa pics
Sikukatishi tamaa au sio kwamba sioni umuhimu wako hapa ila bro pics zako hazina ubora (quality) hata kidogo, pics kama zimepigwa na camera ya 1800's
Anyway, nakukubali bro.