Mkuu hivi ndio vyema hadhi ya humu..hiyo mizigo isikuwa na mvuto HAPANA Mkuu..tafadhali
Yah najua hupigi ww, kwan unazitoa wapi pics mbaya hvyNimekusoma lakini ndugu hizi picha sizipigi mwenyewe, nakutana nazo kama zilivyo.
Dooodo dooodo..hizi ndio kazi sasa.
Ukisikia kuchukua maamuzi magumu ni hapa.