Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kuna siku nikambamba HR mmoja hivi smart sana kule. Nilijisikia huzuni sanaUmenikumbusha one day nipo kwenye groups za uasherati Telegrams ghafla nikastushwa kuona contact za jamaa yangu ambaye ni lawyer na mfia dini zipo kwenye groups kama kumi. Nikajisema kumbe mtumishi anapitiga pande hizi.
Note. Ni vyema kulinda privacy yako hususani unapotembelea site korofi maana credits zako zinaweza kushuka.