Dah!
Mwaka wa Pili huu Uzi unadunda tu, Chaputa wote wameweka kambi hapa.Ngoja nisave picha kabla uzi haujafutwa......kuna harufu ya huu uzi kutokuwa na maisha....[emoji40][emoji40][emoji40]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Hichi kinafanya kazi mwananyamala kwa sasa kipo kino
Kama shape huna pambana na hali yakowengine humu pa plastic bana!! weye mtoto atakuwaje mremboooo bila kipere??
Leo nmeamini kwenye huu uzi unaweza kutana na ndugu..mke au girlfriend wako.
Shape kama hizi nazielewa sana.
Mkuu kila kitu kina shape yake!... umeamua kuropoka!......... Matokeo za shule za St. kayumba ni dhahiri!Kama shape huna pambana na hali yako