Ingia mtandaoni mkuuu 😁Picha hazifunguki kwangu...shida nini?
Unamaanisha nini?Ingia mtandaoni mkuuu [emoji16]
Tumia tapatalkUnamaanisha nini?
Mnafumua kimasiara[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2585945
Hata mie hiyo shida naipata sana.Pics hazifunguki kwangu
Wameamua kutufukuza kwenye APP kijanja..Hata mie hiyo shida naipata sana.