Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wadau nina kama siku ya tatu katika picha 20 inaweza kufunguka moja,nini itakua tatizo?na ni JF nzima[emoji849][emoji849]
Nadhani JF wana mpango wa kuitelekeza App yao tuliyoizoea wabakie na ile nyingine (browser based). Ingekuwa sivyo wangekuwa wameshashughulikia hili tatizo maana ni kama siku ya nne sasa. Melo kwa kawaida yuko very sharp kwenye issues kama hizi.

Wanataka sote tuhamie kwenye browser-based app na au browser moja kwa moja. Ambacho hawajui ni kwamba ile app tuliyoizoea ilikuwa very convenient, easy na very light! Huku kwenye browser mpaka kuzoea wengine itachukua muda...

Wanataka wote tuhamie huku kwenye application mpya ambayo ni browser-based: 👇👇👇

Screenshot_20230415_075517_Instagram.jpg
 
Poshyqueen shepu inaenda kuwa kituko sasaView attachment 2588356
Kuna Uzi humu ulishawahi kuletwa watu wakawa wanabishana kama ni mchina ama laah binafsi mwanzoni anaanza ku trend niliona sio mchina ila kadri siku zinavyozidi kwenda mchina anazid kujidhihirisha kupitia matako yake yaan amekuwa mbaya havutii tena amekuwa kama yule Nicoleberry.
 
Kwwli asee
 
Back
Top Bottom