Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nadhani JF wana mpango wa kuitelekeza App yao tuliyoizoea wabakie na ile nyingine (browser based). Ingekuwa sivyo wangekuwa wameshashughulikia hili tatizo maana ni kama siku ya tano kama siyo sita sasa. Melo kwa kawaida yuko very sharp kwenye issues kama hizi.

Wanataka sote tuhamie kwenye browser-based app na au browser moja kwa moja. Ambacho hawajui ni kwamba ile app tuliyoizoea ilikuwa very convenient, easy na very light! Huku kwenye browser mpaka kuzoea wengine itachukua muda...

Wanataka wote tuhamie huku kwenye application mpya ambayo ni browser-based: [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2591884
Browser based niliiondoa mbali ni shida tupu kuiutumiaji,si rahisi na wezeshi kama hii hapa. Tunazikimbia shida za browser na kutumia app, wanakuja kuturejesha kulekule kwenye browser based app.
 
s.jpg
 
Nadhani JF wana mpango wa kuitelekeza App yao tuliyoizoea wabakie na ile nyingine (browser based). Ingekuwa sivyo wangekuwa wameshashughulikia hili tatizo maana ni kama siku ya tano kama siyo sita sasa. Melo kwa kawaida yuko very sharp kwenye issues kama hizi.

Wanataka sote tuhamie kwenye browser-based app na au browser moja kwa moja. Ambacho hawajui ni kwamba ile app tuliyoizoea ilikuwa very convenient, easy na very light! Huku kwenye browser mpaka kuzoea wengine itachukua muda...

Wanataka wote tuhamie huku kwenye application mpya ambayo ni browser-based: [emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2591884
Ni jukkwaa hili tuu na baadhi ya picha zinafunguka ,lakini kule kwenye jukwaa la Uzi wa vyakula picha zinafunguka vizur
 
Back
Top Bottom