Kumbe na ww wamo 😋😋😋
Chini mwepesi sana
Hahaha Mimi nimeunganisha vipande vyangu huku nilivyonavyo nikamuona mbantu kwa mbali!! Hahaha au nasema urongoHivyoo eeh tumefanana kweli? Ngoja nijiangalie kwenye kioo kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatufanani bana na huyo dada Chino. Siku nitatupia na yangu hapa. Hakuna mtu atajua kama ni yangu 🤣🤣🤣🤣🤣 nitaichanganya humohumo.Hahaha Mimi nimeunganisha vipande vyangu huku nilivyonavyo nikamuona mbantu kwa mbali!! Hahaha au nasema urongo
Chino nisijue!! Hahaha maishaHatufanani bana na huyo dada Chino. Siku nitatupia na yangu hapa. Hakuna mtu atajua kama ni yangu 🤣🤣🤣🤣🤣 nitaichanganya humohumo.
Tutafute hela wakuu
Mi nitajua tu 🤭🤣Hatufanani bana na huyo dada Chino. Siku nitatupia na yangu hapa. Hakuna mtu atajua kama ni yangu 🤣🤣🤣🤣🤣 nitaichanganya humohumo.
Kapachino na Mzee wa kupambania hebu niacheni huko 🤣🤣🤣🤣🤣 siku nitaweka hampo huku. Hamtajua, ngoja nije niweke na nione kama mtajua. Waone kwanza 😄😄😄😄😄Chino nisijue!! Hahaha maisha
Nimekaaaaaaaa pale.
Kwa jinsi siku hizi nafuatilia warembo unaowatupiamo nitakuotea tu 🤣🤣🤣Kapachino na Mzee wa kupambania hebu niacheni huko 🤣🤣🤣🤣🤣 siku nitaweka hampo huku. Hamtajua, ngoja nije niweke na nione kama mtajua. Waone kwanza 😄😄😄😄😄
Kuonyesha hutonijua wala Chino. Kuna mtu alishaitupia na alinitag kabisa. Sema hutoiona na huwezi amini ID yake nimeisahau. Natakaga kumwambia aifute sasa ID sikumbuki 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Kwa jinsi siku hizi nafuatilia warembo unaowatupiamo nitakuotea tu 🤣🤣🤣
Naikumbuka 🤣🤣🤣Kuonyesha hutonijua wala Chino. Kuna mtu alishaitupia na alinitag kabisa. Sema hutoiona na huwezi amini ID yake nimeisahau. Natakaga kumwambia aifute sasa ID sikumbuki 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Embu tupia bana nimekwara koko tu hiiKapachino na Mzee wa kupambania hebu niacheni huko 🤣🤣🤣🤣🤣 siku nitaweka hampo huku. Hamtajua, ngoja nije niweke na nione kama mtajua. Waone kwanza 😄😄😄😄😄
Kama ni ww cha mdeko mumeo anakojoa pazuri duuuh aseee 😋😍😉🤗🤗🤗🤗☺️☺️🤗😚