Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kapachino na Mzee wa kupambania hebu niacheni huko 🀣🀣🀣🀣🀣 siku nitaweka hampo huku. Hamtajua, ngoja nije niweke na nione kama mtajua. Waone kwanza πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwa jinsi siku hizi nafuatilia warembo unaowatupiamo nitakuotea tu 🀣🀣🀣
 
Kwa jinsi siku hizi nafuatilia warembo unaowatupiamo nitakuotea tu 🀣🀣🀣
Kuonyesha hutonijua wala Chino. Kuna mtu alishaitupia na alinitag kabisa. Sema hutoiona na huwezi amini ID yake nimeisahau. Natakaga kumwambia aifute sasa ID sikumbuki πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Naikumbuka 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…