Kwa Sisi Wazee unamwambia Binti aweke kimti cha Miaka 3 ili tule maisha.
Hatari saana......Kwa Sisi Wazee unamwambia Binti aweke kimti cha Miaka 3 ili tule maisha.
Wakati huo kadi ya Benki ya pension unatembea nayo mfuko wa Shati 🤪🏃🏃
Wakati huo ni kula maisha tu, leo Kaskazini weekend ijayo Kusini.Hatari saana......
Amekaa vizuri.
Huku tunaishi na fantasies zetu hatumdhuru mtu😁😂😂 ndio mnajifichaga huku?
Depal kama nakuona vile....😂
Mnakula kwa macho tu 😄Huku tunaishi na fantasies zetu hatumdhuru mtu😁
tukitoa miwani tukaeka vi-dimples je.... 😂Sivai glasses mie 🤣🤣
Sina flat tummy kama yake 😂😂tukitoa miwani tukaeka vi-dimples je.... 😂
Aisee...tuone jiraniSina flat tummy kama yake 😂😂