Kwa Sisi Wazee unamwambia Binti aweke kimti cha Miaka 3 ili tule maisha.
Hatari saana......Kwa Sisi Wazee unamwambia Binti aweke kimti cha Miaka 3 ili tule maisha.
Wakati huo kadi ya Benki ya pension unatembea nayo mfuko wa Shati π€ͺππ
Wakati huo ni kula maisha tu, leo Kaskazini weekend ijayo Kusini.Hatari saana......
Amekaa vizuri.
Huku tunaishi na fantasies zetu hatumdhuru mtuπππ ndio mnajifichaga huku?
Depal kama nakuona vile....π
Mnakula kwa macho tu πHuku tunaishi na fantasies zetu hatumdhuru mtuπ
tukitoa miwani tukaeka vi-dimples je.... πSivai glasses mie π€£π€£
Sina flat tummy kama yake ππtukitoa miwani tukaeka vi-dimples je.... π
Aisee...tuone jiraniSina flat tummy kama yake ππ