Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Hahaha we jichanganye tu mbantu!Kuonyesha hutonijua wala Chino. Kuna mtu alishaitupia na alinitag kabisa. Sema hutoiona na huwezi amini ID yake nimeisahau. Natakaga kumwambia aifute sasa ID sikumbuki 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Kuweni makini msije mkatupia picha ya Mama ohoo
Mideko inabidi na wewe utupie basi.
🤣🤣🤣🤣Mideko inabidi na wewe utupie basi.