Naona umerudishwa mama, walikufanysje aisee?
Nashukuru Jamanii 😂😂 mods wanataka wavaa vijora labda...Hii ina tofauti gani na zingine zinazopostiwa. Wanafeli sana hawa mods, mimi nilikumiss sana Beef😀😀
Waende huko😅 sie tunataka kushtua maungo bwana we!Nashukuru Jamanii 😂😂 mods wanataka wavaa vijora labda...
Kwanza mods wanafanya nn huku,watuache na maisha yetuHii picha ndio tatizo ERoni