Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Self service
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka huu nisipomaliza ujenzi Mideko na Bantu Lady mtakuwa na kesi ya kujibu!!
Mideko inafaa uwekwe utaratibu wa wewe kupigwa ban kila baada ya wiki mbili hivi, maana umerudi uko moto sana 🙌🙌
😂😂😂🤣🤣🤣Kwanza mods wanafanya nn huku,watuache na maisha yetu
Ushindwe 🤣🤣🤣Mideko inafaa uwekwe utaratibu wa wewe kupigwa ban kila baada ya wiki mbili hivi, maana umerudi uko moto sana 🙌🙌