National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Sema huyu Anaonekana Mkali/mkorofi sana, ni dizain ya wanawake ambao ukiwa nao Anatak kkupanda kichwani.
Reyna mkulima wa mpunga huyu
Umeona mbaliSema huyu Anaonekana Mkali/mkorofi sana, ni dizain ya wanawake ambao ukiwa nao Anatak kkupanda kichwani.
Nataman sana kukanyaga Rwanda ila nikifikiria juu ya suala la usalama moyo unakufa ganzi, naona bora nibaki hapa hapa bongo nipambanie akina uwoya
Vitu vizuri hivi wallah!!
Mkuu ile sentene inayoinshia in the eyes of beholder inakuwa approved hapa😂😂😂Huu uzi huishie hapa. Katika wadada wote mnawao wapost huyo kamaliza kilakitu [emoji817].
hauna connection ya toto mojabig five ipo relini pale.. jirani na soko la madini
Hauja muona baby wanguHuu uzi huishie hapa. Katika wadada wote mnawao wapost huyo kamaliza kilakitu [emoji817].
Mkuu ile sentene inayoinshia in the eyes of beholder inakuwa approved hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hauja muona baby wanguView attachment 2747270
Hahahaaa!hiyo kitu kuipasua inabidi uwe na kifuaa mzeeView attachment 2745708