National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
mtoto mrembo ila lishe duni
kikubwa moto unaenda hayo ya lishe atapambana na anapokula 😅😅mtoto mrembo ila lishe duni
Huo ushamba sidhani Wanaume wanaufanya, ukiona nimetoa 50k kwa Mwanamke basi ujue kwangu zimebaki 500k.Maisha ya wanawake bwano!! Unakuta thamani zote hizo kanunuliwa na wajuba ambao wao makwao bado wanakalia Makochi ya mbao na Bado wana Tv za chogo.
Hapo anakuja mpuuzi anasema umalaya haulipi😂😂