mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
huyu ndo mrembo wa thread nzima
Absolutelyhuyu ndo mrembo wa thread nzima
Huyu demu bhana😅😅😅
Ni nani huyuHuyu demu bhana😅😅😅
Kuna mwanang alinambia alimfwata DM IG akaombwa hela ya vocha elfu tano.
Sasa sijui kama ni kweli au alitaka kuchekesha umati ila nilicheka sana nilidhani atakuwa expensive 😅😅
Anajiita sijui Geeda_Tz, sikumbuki vizur ngoja wataalamu wajeNi nani huyu
Yaan mm mademu kama hawa nawakubaligi kinoma, kwanza ana chocolate colour flan ivi imetulia, alaf ana uzur natural make-up kidogo alaf kishape flani ivi cha uchokozi.
Ebhanaeee chuma kikalii 🔥🔥🔥🔥🔥😋
Noma sana kanyoka kwelikweliAnajiita sijui Geeda_Tz, sikumbuki vizur ngoja wataalamu waje