Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

IMG_6385.jpeg
 
Habari wakazi wa mtaa wa JF hasahasa wanaume na wavulana wote kwa ujumla

Kwa sasa naelekea makazi mapya. Itifaki ni lazima niizingatie. Ubora wa nyumba ya kuishi binadamu ni lazima iwe na mahala pema pa kujistiri! Si mnajua kuwa kupupu ni sehemu ya burudani katika maisha?

Hakuna kitu kinavutia katika nyumba kama uwepo wa choo kikubwa, kisafi na cha kuvutia. Binafsi huwa natazama choo kwanza kabla ya kuhamia makazi mapya

Kumbuka: Nyumba ni choo. Haka kamsemo niliwahi kukasikia Clouds na nisielewe maana yake

Iweni na siku njema
 
Nyumba na choo vinahusikaje na jukwaa hili? Au umeandika kwa tafsida?
 
Back
Top Bottom