Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Nimetumia tafsida ili kucheza na akili za mods. Hawanaga dogo, wangelikuwa washautupia kapuni uzi huuNyumba na choo vinahusikaje na jukwaa hili? Au umeandika kwa tafsida?
Nimetumia tafsida ili kucheza na akili za mods. Hawanaga dogo, wangelikuwa washautupia kapuni uzi huuNyumba na choo vinahusikaje na jukwaa hili? Au umeandika kwa tafsida?
Binafsi, vyoo vikubwa sana sipendelei. Vinafanya nyumba inakosa mvuto. Mara mia choo kiwe na ukubwa sawa na nusu ya sebure. Inapendeza zaidi kama ukuta wake ukiwa unayumbayumbaChoo kiwe kikubwa kama sebule.
Ni muhimu sanaHalafu kiwe choo Cha kuchuchumaa sio vile vya kukaa
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Dah!Utamuuuuuu