_KINGO_
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 330
- 1,916
hakika atakuwa anajua kabisa kanuni na sheria za huku ni kwamba connections ni bure.Kwa hiyo unatoza pesa kama wale matapeli wa magroup ya telegram?
ukiona mtu anaomba hela mpuuze tu. mademu wako kibao. wagawa connections free humu pia wapo kibao 😀😀