mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,895
- 5,048
Kweli tabu
Ana nunduMpambano mpambano ndugu zangu. Njooni muamue kati ya hizi pisi mbili (Amira na Vaxx) nani mkali...na kwa nini. Pengine uzi utachangamka kidogo.
1. Amira huyu. Nasikia hii ni miksa ya mweusi/Mwarabu na Mjerumani...motooo [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2114012View attachment 2114013View attachment 2114015View attachment 2114016View attachment 2114017View attachment 2114018
2. Vaxx huyu. Mali ya Jamaica hii kwa Bob. Na yenyewe miksa fulani hivi kiaina...motooo [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2114019View attachment 2114020View attachment 2114021View attachment 2114022View attachment 2114023View attachment 2114024
TYPICAL SUKUMA MEAL, Hapo wali ndio utakuja baada ya ugali kumegwamegwa [emoji23][emoji23][emoji23]Hilo halina shaka kamanda. Mikoani huku tuko vizuri kwa sababu chips hazijatuharibu. Nitawawakilisha vyema! [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2113035
Kuna li chama hapa hapa nchini linatetea haki ya kuwa shoga na kiongozi yuko ughaibuni. Shenzy type kabisa.Hii nchi uhuru umepitiliza yaani na hizi pisi zote kuna mtu analilia haki ya kutambulika/kupewa haki yake ya kuwa shoga, shenzi type kabisa!
We ndio shenzi mkubwa, mambo ya chama hayatakiwi jukwaa hiliKuna li chama hapa hapa nchini linatetea haki ya kuwa shoga na kiongozi yuko ughaibuni. Shenzy type kabisa.
Nikitizama vizuri, hii picha imeunganishwa, ukitizama hapo chini kwenye miguu unagundua.Kweli tabu
View attachment 2114186