Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Wafuasi wake tupo.....tumejiandaa kwa mipango yote......na supplier wa kuku nchi nzima tushampata.......
Vile vile kutakuwa na kachumbari nambogamboga......
Chagua chauma....pata afya bora......

Mbogamboga unamaanisha kile chama kingine?
 
kuleni chakula bora kuku mayai na mboga, hii ni sawa hiyo? namkumbuka mzee mwinamila, inaonekana umezaliwa miaka ya 2000 Nyerere alishastaafu, yeye ndio alituhimiza tule tushibe.

Alihimiza au alitembea na shehena?
 
Simfahamu Rungwe personally ila namkubali sana, he is smart kichwani, ripoti ya utapiamlo na uduni wa afya ni Jambo nyeti na muhimu, akili ndogo haziwezi kutafsiri ananeyo ama kufanya ndugu Rungwe
 
Wafuasi wake tupo.....tumejiandaa kwa mipango yote......na supplier wa kuku nchi nzima tushampata.......
Vile vile kutakuwa na kachumbari nambogamboga......
Chagua chauma....pata afya bora......
Na pili pili safi!

Sasa si ndio.......
Mlo kamili kwa afya ya mwananchi.....na tunda moja la msimu huo........
Na maji safi!
 
Simfahamu Rungwe personally ila namkubali sana, he is smart kichwani, ripoti ya utapiamlo na uduni wa afya ni Jambo nyeti na muhimu, akili ndogo haziwezi kutafsiri ananeyo ama kufanya ndugu Rungwe

Wewe akili kubwa, hoja sio anenayo... basi jikite kwenye mada!
 
Hapo polisi wakijichanganya ndo wataelewa rasmi nini maana ya nguvu ya umma.
duh kwenye mpunga maharage bana mi nipo afe nyani afe mbwa tuachieni ubwabwa wetu .
kura kwa magu lakini tukivimbiwa
 
Hahahahaha!!! Afe beki afe kipa hakuna kupigwa bao!
Aaaah we mi nshaagiza mkungu wa ndizi kisukari toka Mbeya,ila kampeni naenda na kichana tu daily kwenye kila kampeni mbili kwa rais wangu zingine zangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlikuwa sijaona hizo potpot (kwa sauti ya mwanangu).....nimechekaaaaaaa jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…