Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kitendo Cha media kumpa airtime huyu jamaa Ni dharau kwa zoezi Zima la uchaguzi wa viongozi wa nchi
Asante sana mkuu, tunapenda ucheshi lakini huu sio wa bahati mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo Cha media kumpa airtime huyu jamaa Ni dharau kwa zoezi Zima la uchaguzi wa viongozi wa nchi
Wafuasi wake tupo.....tumejiandaa kwa mipango yote......na supplier wa kuku nchi nzima tushampata.......
Vile vile kutakuwa na kachumbari nambogamboga......
Chagua chauma....pata afya bora......
kuleni chakula bora kuku mayai na mboga, hii ni sawa hiyo? namkumbuka mzee mwinamila, inaonekana umezaliwa miaka ya 2000 Nyerere alishastaafu, yeye ndio alituhimiza tule tushibe.
Mbogamboga unamaanisha kile chama kingine?
Mkuu hapa tunaongelea afya.......mboga kama mboga.....hoho...biringanya na mnafu....
Msituchukulie poa tafadhali........
Hiii wajameni,
Hivi huu utani tumeshindwa kabisa kuuchorea mipaka?
Mgombea Urais kabisaaaaa, mbona asikemewe au kuondolewa mapema tu kwenye kinyang’anyiro!
Hivi taasisi ya Urais tunaichukuliaje, ni kweli watu hawana uwezo wa kumudu milo mitatu.
Lakini hii kutembea na mahando ya ubwabwa na kula hadharani ni kuonesha ufahari, kuwasimanga na kuwatamanisha wananchi!
Rungwe hautokuwa ukiwagawia misosi watu wote, waambie tu utawasaidiaje wamudu milo ya kiafya.
Hapa njaa inaniuma hadi nimeshindwa kuandika, ngoja kwanza.
Hii mizaha si vichekesho, tuikemee na kuipinga.
Mtagawa kwa wananchi?
Na pili pili safi!Wafuasi wake tupo.....tumejiandaa kwa mipango yote......na supplier wa kuku nchi nzima tushampata.......
Vile vile kutakuwa na kachumbari nambogamboga......
Chagua chauma....pata afya bora......
Na maji safi!Sasa si ndio.......
Mlo kamili kwa afya ya mwananchi.....na tunda moja la msimu huo........
Simfahamu Rungwe personally ila namkubali sana, he is smart kichwani, ripoti ya utapiamlo na uduni wa afya ni Jambo nyeti na muhimu, akili ndogo haziwezi kutafsiri ananeyo ama kufanya ndugu Rungwe
Wewe akili kubwa, hoja sio anenayo... basi jikite kwenye mada!
He is global and ur local huwezi kuelewa, he is an elite
Hata Lipumba mlianza kwa kusema ni elite, sijui global ila leo hii ndo profesa uchwara kuliko wote nafikiri!
He is global and ur local huwezi kuelewa, he is an elite
He is global and ur local huwezi kuelewa, he is an elite
duh kwenye mpunga maharage bana mi nipo afe nyani afe mbwa tuachieni ubwabwa wetu .Hapo polisi wakijichanganya ndo wataelewa rasmi nini maana ya nguvu ya umma.
Hahahahaha!!! Afe beki afe kipa hakuna kupigwa bao!duh kwenye mpunga maharage bana mi nipo afe nyani afe mbwa tuachieni ubwabwa wetu .
kura kwa magu lakini tukivimbiwa
Aaaah we mi nshaagiza mkungu wa ndizi kisukari toka Mbeya,ila kampeni naenda na kichana tu daily kwenye kila kampeni mbili kwa rais wangu zingine zanguHahahahaha!!! Afe beki afe kipa hakuna kupigwa bao!
Ziko nyingi sana hizi Jamuhuri za Miungano. AnywayJamuhuri ya Muungano