Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

BREAKING NEWS. Chama cha CCK kimeanguliwa kwenye mchakato wa Uchaguzi mkuu 2020. Sababu ni nyingi Hawakulipa, mgombea mwenza hakuwepo na mengine mengi tu.
 

Attachments

  • 20200825_163543.jpg
    70.6 KB · Views: 1
Anaenguliwa na sikuakienda mahakamani mahabusu,mbona mtasagameno na kugalagala nyumbu wa ufipa.
 
Vichekesho vya mwaka Hashimu Rungwe na chama Cha mfukoni aonekane katimiza vigezo Lissu ashindwe ? Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana .
 
Rungwe kama rungwe [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji106][emoji106]
 
Reactions: PNC
hahahaha[emoji23], mkuu ukipata muda pitia twitter uone watanzania wanavomuhusudu Rungwe spunda,wengine wameenda mbali na kumuomba wali maharage tu wanadai wali nyama ni maendeleo makubwa sana mpaka wanaogopa
Kwa jinsi ninavyowajua Watanzania,hapo watakuwa wanampaka mafuta mzee wa watu kwa mgongo wa chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…