Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyama vya mfukoniBREAKING NEWS. Chama cha CCK kimeanguliwa kwenye mchakato wa Uchaguzi mkuu 2020. Sababu ni nyingi Hawakulipa, mgombea mwenza hakuwepo na mengine mengi tu.View attachment 1547726
Hivyo vyama vipo kwa ajili ya kula ruzuku tu.Vyama vya mfukoni
Anaenguliwa na sikuakienda mahakamani mahabusu,mbona mtasagameno na kugalagala nyumbu wa ufipa.
Mkiingia lodi kabla polisi hawajafika,sisi raia tunawatembezea kichapo cha mbwa mapepe.Kwel we n zumbukuku
Mkiingia lodi kabla polisi hawajafika,sisi raia tunawatembezea kichapo cha mbwa mapepe.
tunawapiga madole ya kati mlainike mlegee.
Kwa jinsi ninavyowajua Watanzania,hapo watakuwa wanampaka mafuta mzee wa watu kwa mgongo wa chupa.hahahaha[emoji23], mkuu ukipata muda pitia twitter uone watanzania wanavomuhusudu Rungwe spunda,wengine wameenda mbali na kumuomba wali maharage tu wanadai wali nyama ni maendeleo makubwa sana mpaka wanaogopa