Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Huyu rungwe anawadharau watanzania kwa kuwaona wananjaaa ya ubwabwa chama kilitakiwa kifutwe hakina sera wanakula ruzuku
Mwalimu aliwahi kusema, mtu akikuambia kitu cha upuuzi, nawe ukajua ni upuuzi na usichukue hatua yoyote, mtu huyo amekudharau sana.
Hiki ndicho Rungwe anafanya, kuwadharau Watanzania na sera za ubwabwa.
 
hivi unajua nguvu ya tumbo?Tumbo linaamua mambo mengi sana.Ukiwa na njaa hata kufikiri vizuri huwezi.
Huyu ana majibu ya matatizo ya Watanzania, njaa, njaa inawasumbua wengi.
 
Tuna haki ya kuchukuliwa hivyo hivyo. Tunaonewa, hatuna uhuru ndani ya nchi yetu ila tumekaa kimya na mbaya zaidi tunajumuika na watesaji tukishangilia. Sasa si bora tuelezwe kuhusu ubwabwa ijulikane moja. Labda ndio tunachopenda na si kujipigania kutoka kwa yeyote anayetudhulumu haki zetu. Hashim yuko sahihi kabisa.
 
Sio ubwabwa tuu,tutamwagilia mashamba Kwa helkopta hatutategemea tena mvua 2015.hiyo
 
Rungwe kama Rungwe
IMG-20200829-WA0001.jpg
 
Ndugu Hashim Rungwe, mgombea wa urais kupitia chama cha CHAUMA afika studio za clouds FM na ma hot-pot makubwa ya ubwa na mboga, ikiwa ni sehemu ya sera zake. Na watangazaji wote kwa pamoja wakanza kuufinya ubwabwa kwa pamoja na mgombea huyo wa urais huku mahojiano yanaendelea.
Mr Pondamali kufa kwaja, mwili wajengwa kwa lishe, haujengwi kwa fenicha.
 
Nilichomwelewa RUNGWE ni kwamba atapambana na hali mbaya ya maisha ya WaTZ wali amechukilia kuwa watanzania wengi wana maisha magumu mpaka wanashindwa kupata hata chakula hivyo yeye atawezesha ubora wa maisha ili kuongeza nguvu kazi
 
Back
Top Bottom