Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Unaona Sera ya chakula shuleni kama upuuzi sio.
Andaa ndomo kwa watoto wa kike na kiume maana mimba zinawahusu kwa kwa kula chips za watu
 
A very narrow view of the way forward for Tanzanians

..nadhani ameshindwa kuiwasilisha vizuri sera hiyo.

..wakati wa Mwalimu Nyerere alianzisha kampeni ya "MTU NI AFYA."

..moja ya mambo yaliyosisitizwa ni pamoja na lishe bora, kula milo mitatu, na kula mlo kamili.

NB:

..hata sera ya John Cheyo ya "kujaza mapesa" iliwasilishwa vibaya.

..sera ile lengo lake ni kuondokana na umasikini, kuinua kipato, kuongeza purchasing power, na kujenga a Taxable society.
 
..Lishe ni mgogoro ktk nchi yetu.

..Na sidhani kama kuna study imefanyika kujua athari zake.

..ni wananchi wangapi wanapata kikombe cha maziwa, tunda, mboga-mboga, protini, na wanga, kila siku?
 
Kati ya wagombea ambao si tu hawako serious, akini naona ni kama dharau kwa nafsi ya watanzania, ni huyu mgombea urais wa chama cha CHAUMA Hashim Rungwe.

Mzee Rungwe kaja na sera za Ubwabwa kwa watu wote, tena anasema atakuwa na sera za Ubwabwa toka Mbeya!!

image-25.png

“Kama Chama changu kitanipa ridhaa ya kuwa mgombea nafasi ya Urais sitaacha sera yangu ya Wanafunzi kupata chakula mashuleni mchana, ndio lazima wanafunzi washibe ubwabwa mtamu wa moto ili akili zao zichaji ni jukumu la Kiongozi wa nchi kuhakikisha wanafunzi wanashiba.” Hashimu Rungwe - Mwenyekiti CHAUMA

Is this guy serious or he is wasting the people's time?
Sisi tutakula
 
hivi unajua nguvu ya tumbo?Tumbo linaamua mambo mengi sana.Ukiwa na njaa hata kufikiri vizuri huwezi.
Huyu ana majibu ya matatizo ya Watanzania, njaa, njaa inawasumbua wengi.
Hivi wewe ukiambiwa nipigie kura ili ule ubwabwa wa bure, mtu huyo anakuchukuliaje?
Nawe kweli utampiga, nawe tukuelewe vipi ?
 
Anaitwa.....
Hashim Rungwe Spunda...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina lake tu mimi huwa hoi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Spunda ni kiswahili au ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huko kyela Mchele wanatandikia kuku kama ilivyo maranda,halafu Huyu mzee anaongelea ubwabwa
 
Back
Top Bottom