Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Taking advantage of the poor, halafu pengne akiwapata atakula ruzuku!mzee mduanzi huyu anajua kabisa wasikiliza sera huwa ni walala hoi kwaio akiwa katika kampen zake wakat anatoa sera watu wanapiga ubwabwa pale
Mwalimu aliwahi kusema, mtu akikuambia kitu cha upuuzi, nawe ukajua ni upuuzi na usichukue hatua yoyote, mtu huyo amekudharau sana.Huyu rungwe anawadharau watanzania kwa kuwaona wananjaaa ya ubwabwa chama kilitakiwa kifutwe hakina sera wanakula ruzuku
hivi unajua nguvu ya tumbo?Tumbo linaamua mambo mengi sana.Ukiwa na njaa hata kufikiri vizuri huwezi.Mwalimu aliwahi kusema, mtu akikuambia kitu cha upuuzi, nawe ukajua ni upuuzi na usichukue hatua yoyote, mtu huyo amekudharau sana.
Hiki ndicho Rungwe anafanya, kuwadharau Watanzania na sera za ubwabwa.
Sidhani kama Rungwe is a thinkerhivi unajua nguvu ya tumbo?Tumbo linaamua mambo mengi sana.Ukiwa na njaa hata kufikiri vizuri huwezi.
Huyu ana majibu ya matatizo ya Watanzania, njaa, njaa inawasumbua wengi.
Mr Pondamali kufa kwaja, mwili wajengwa kwa lishe, haujengwi kwa fenicha.Ndugu Hashim Rungwe, mgombea wa urais kupitia chama cha CHAUMA afika studio za clouds FM na ma hot-pot makubwa ya ubwa na mboga, ikiwa ni sehemu ya sera zake. Na watangazaji wote kwa pamoja wakanza kuufinya ubwabwa kwa pamoja na mgombea huyo wa urais huku mahojiano yanaendelea.
This guy ni joker katika mambo nyeti!Chama kinachoenda kukamata dola 2020-2025.View attachment 1551795