Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mgonjwa wa Ukawa jana kachafua hewa watu wakakimbia mkutano make hari ilikuwa inaashiria kuwepo kwa kipindupindu
 
Najaribu kuwaza tu kijinga,hivi ikitokea Mungu akampenda zaidi mr.Hapa kazi tu mwezi wa November baada ya kuapisha kuwa Rais wa JMT(Siombei yatokee ila sisi ni binadamu anything can happen) hapa kazi tu,uchapakazi na uadilifu utaendelea au tutarudi square one?
 
Acheni kujidanganya watanzania wa fiesta ya siku hizi , tar 25 Oct ,mtaona chadema watakavyo peperusha bendera yao
 

Huyu ndiye rais, hao wengine watasumbuka tu
 
Hiyo ni ndoto na kujifariji Lakin ualisia upo pale pale kuwa Magufuli hatoki na ushindi
 
Magufuli anastahili kuapishwa na kupewa nchi ili tuwee salama, hao wengine ni wagojwa tu.
 
Mgonjwa wa Ukawa jana kachafua hewa watu wakakimbia mkutano make hari ilikuwa inaashiria kuwepo kwa kipindupindu
Najiuliza mtu anaendika namna hii sijui anafikiria vipi.? Sidhani kama timu ya kampeni ya ccm na magufuli wanafurahia watu kama nyinyi
 
Haswaaaaaaaaaa!!!!!! Asiapishwe, hafai!!!!!! Ameshindwa kumwongoza mkewe, ataiweza nchi????????
 

Na kwa mfano kabla ya tar 25 oct wa ukawa nae akawa hivyo mtachukua fisadi yupi tena,mana cdm ndo wanategemea huku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…