Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Magufuli subilia kuapishwa tu, leo nimekutana na wazee wakawa wanasema nchi bila wewe tunaweza rudi nyuma sana kimaendeleo
 
Watanzania wanahitaji rais kama Magufuli anaeweza kusimamia na kutekeleza mahitaji ya wanainchi.
 
Magufuli ni msimamizi mzuri na anaouwezo wa kufuatilia mahitaji ya wanainchi wake.
 

Kuna nati zimelegea katika medula oblongata yako.
 
Mleta mada ni pumba kabisa, anaandika kama anasaga pilipili.
 
Hiyoo n fiesta na wala cyo kampen sawa try kutofautsha kat ya nzige na palare okk.ukiweza nd usem hvy
 

Hivi unajua Bukoba ina watu wangapi na waliohudhuria hapo ni wangapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…