Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Alivyo sema ni sawa sii yupo ccm lazima akinadi chama ili kuwapoteza maboya lakini mwisho wa siku atajua kura ampigie nani kura ni siri ya mtu.
 
Hao wanaotaka kufanya ibada ya kufunga kwa maombi ya siku 3 mfululizo kwa ajili ya kumuombea Magufuli wangeanza kwanza kuwaombea Nape,Lusinde,Bulembo waache kutukana na kudhihaki. Kwani maombi yenu yatakua makelele mbele za Mungu. Mungu hapendi mizaha na ndo maana amelaaniwa mtu yule alitajaye jina la Mungu bule huku moyoni anawaza uharibifu kwa kusikiliza mizaha.
Waombeeni kwanza toba ndo muendeleee kuwaombea kwa kufunga huku mkiwaonya kampeni za kistaarabu
 
are u crazy? juzi si kazomewa mbeya au mbeya sio Tanzania?
Kusoma nako kunasaidia jamani.
 

Ukiona Mtu na akili zake timamu anaishabikia ccm ujue ananufaika either AJIRA, baba/mama ni watumishi ccm. TOFAUTI na hapo ujue huyo ni MWENDAWAZIMU. Bado tu mtz unaiamini ccm? Kwa lipi? Huwa nacheka sana, SITAWAANGUSHA kwani tupo juu ya miti? Lowassa for president longolongo peleka lumumba.
 

Attachments

  • katuni+itv+31+and+1feb+2011.jpg
    41.2 KB · Views: 147
  • 3920662092936227200.jpg
    19.4 KB · Views: 143
Hata mkiweka mabango hadi vyumbani bado hawez kushinda
 
Ndorobo na Maroboti ya CHADEMA yanaweweseka kanla kiama chao hakijafika very soon. Hivu kuzua mambo ya uongo kunawasaidia nini? Hawa watu wa ukawa hawaaminiki na mgombea wao ni laghai sana. Eti katika siku mia nutaondoa msongamano wa magari. But he never elaborate how. Katika siku mia nitapunguza au kufuta payr jamani. Maneno matamu yasiyotekelezeka ni nini hiki?
 
Hivi we Mr Chin unaposema Magufuli akubalika nchi nzima, unanihesabu na mimi au..??!! Maana mimi sijamkubali.. AU umeshanitoa kwenye list ya watanzania..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…