Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Pu......bavu tupa kule ujinga wenu hayo mapicha yenu mnamdanganya nani subiri mziki wa ukawa jmosi
 
Ila jamani ccm kumweka mama u-makamu was a very smart move. Watavuna kura nyingi za wanawake...Halafu hiyo slogan ya #HapaKaziTu imekaa vizuri. Kweli ccm sio malofa
 
Mgombea uraisi kwa tikieti ya CCM, Dr. Magufuli akiwa Katavi leo ameahidi kufufua viwanda vilivyokufa na kujenga viwanda vipya, huku akiwapiga mkwara wawekezaji waliovinunua kuwa wakishindwa kuviendesha wavirudishe serikalini.

My take:

Miaka ya 1995 serikali ilijitoa katika biashara na CCM ikiongoza serikali iliviuza viwanda hivyo, je leo hii wataweza kutekeleza ahadi hii ya kuvifufua na kuviendesha??

Je serikali inakiri kiutu uzima kuwa ilifanya makosa kuvibinafsisha viwanda hivyo????

Hatua gani serikali yake imechukua kuwafikisha mbele ya sheria wale walioviuza kimakosa, na je wale ambao wameshindwa kuviendesha kwanini hawajafikishwa makamani kwa zaidi ya miaka 20. Je kweli kuna nia ya dhati katika hizi kauli za magufuli


Karibuni wadau kuchambua ahadi hii ya Dr. Magufuli

Source; AZAM TWO NEWS
 

Hiyo ni ahadi ya kuombea kura hataweza kutekeleza
 
Huyu naye ni mpumbavuu na lofa kabisa alikuwa meza kuu na walioua viwanda na alishirikiana nao kuuza nyumba za serikali,leo atarudishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…