Jpm hajui kuwa kuuza viwanda ilikuwa si hiali yao Bali ni mashart ya IMF na world bank na mashart hay bado yanaendelea kwa nchi maskin kama Tanzania, mojakwamoja ni uongo wa mchana kweupe, serikali ilishajitoa katk biashara miaka 20 iliyopita Leo mtu anakuja na lugha za uongo.
Unatakiwa ujifunze kuweka habari. Wewe kwanza tupe ushahid wa ahadi, HALAFU ndio ulalamike.Vijana wa Katavi na Sumbawanga wamelalamika na kulaani uwongo wa timu ya kampeni ya ccm kwamba Mgombea wa urais kupitia ccm angeambatana na Diamond Platinum kwenye kampeni katika mikoa hiyo. Diamond hakuwepo kutumbuiza wakati wa kampeni hizo za leo.
Source: Balozi Ten Cells- Mpanda
Vijana wa Katavi na Sumbawanga wamelalamika na kulaani uwongo wa timu ya kampeni ya ccm kwamba Mgombea wa urais kupitia ccm angeambatana na Diamond Platinum kwenye kampeni katika mikoa hiyo. Diamond hakuwepo kutumbuiza wakati wa kampeni hizo za leo.
Source: Balozi Ten Cells- Mpanda
Muulize DIZELI CHAFU. Ataweza kusaidia nchi na kashfa ya Richmond inamshika koo. SASA ANAPANDA DALADALA ILI watu wamuonee huruma.Huyu naye ni mpumbavuu na lofa kabisa alikuwa meza kuu na walioua viwanda na alishirikiana nao kuuza nyumba za serikali,leo atarudishaje?