MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Yan anaongea km hajielewi kabisa...!
Yan badala ya kuzungumzia mambo yake anakomaa na vijembe vya kijinga
Magufuli na CCM kwa ujumla wameshajua kuwa hawawezi kushinda wamebaki wanahaha tu.
ww ni daktari wa milembe ,ulimpima ukaona hajielewi..heb tuache Siasa za mdomo Toa hojaYan anaongea km hajielewi kabisa...!
Yan badala ya kuzungumzia mambo yake anakomaa na vijembe vya kijinga
Ulitaka aahidi akaunti zenye pesa kwa kila mwananchiNdizo zilizompa ujiko hizo
Utumbo huo uliupika ww..kwa akili yko unaona ni utumbo..heshimu mawaZo ya mtu ..usibwabwaje kuongea kwa sababu umeongeaMagufuli kumsikiliza inabidi uwe mpole mana anaongea utumbo tupu
walishajua wanapigwa kabla misa ya kwanza wakamsaidie ili iweje?Chama cha Mapinduzi kisimwache Magufuli peke yake, hasa wakati huu wa kampeni. Jaribuni kumtengenezea mambo ambayo anapaswa kuyaongea mbele ya wapiga kura.
Jana nimeshangaa badala ya kumwaga sera huko katavi analalamika kuwa hajapanda chopa ili aweze kuwa karibu na wananchi, aone shida zao. Na akawatahadharisha kuwa kuna wengine watakuja na chopa, msiwasikilize, ni wajuu mno hawawezi kujichanganya na ninyi maskini.
Hapo nikaona mzee mzima hajajipanga, analialia tu
Magufuli anatishaaaa
Ukitaka kujua tofauti kati ya Lowassa na Magufuli; 1. Kila anacho fanya Lowassa tz nzima wanataka wakijue, mfano katembea na Daladala na kwenda Sokoni tz nzima imejua na kwa wakati huo huo Magufuli yupo Katavi anatoa ahadi hewa na hakuna chombo cha habari wala mtu anaye jali wala kujadili nini Magufuli anafanya au amesema. Na sasa serikali kwa kutumia vyombo vyake vina pambana na Lowassa kama kuzuia maandamano ya kuelekea kwenye mikutano, kuzuia asifanyie kampeni uwanja wa Taifa, Halmashauri kuhujumu uzinduzi wake kwa kuzuia uwanja wa jangwani, Polisi kuanza kuzuia Lowassa asiende Sokoni au kupanda Daladala!
Utumbo huo uliupika ww..kwa akili yko unaona ni utumbo..heshimu mawaZo ya mtu ..usibwabwaje kuongea kwa sababu umeongea
Acha woga mkuu. Huu ni upumbavu na ulofa kukiri kua MAgufuli anatisha! Amekutishia na nini hadi uogope hivyo???
Acha woga mkuu. Huu ni upumbavu na ulofa kukiri kua MAgufuli anatisha! Amekutishia na nini hadi uogope hivyo???