Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Takwimu zake huwa ni exagerations tu, si unajua mambo ya kujua kwingi? Hebu angalia alipopewa uwaziri wa uvuvi na kilimo, ati kila bwawa anajua lina samaki aina mbali wangapi! Hata bwawa ambalo haliko kwenye takwimu za wizara yeye anajua lina kambale wangapi!
Angekuwa genius hivyo asingefeli seminary na kufukuzwa. Yaani tunapata rais muongo tena baada ya dhaifu miaka 10?!God forbid!
 
Atuambie kwani Nani aliviua halafu yeye avifufue vinginevyo ni maigizo maana angetuonyesha hata kiwanda kimoja alivyo kua uvuvi

Uvuvi angalau aliwafanya waTz wajue kuwa kumbe samaki kama mifugo mingine waweza kuwafuga. So ufugaji wa samaki ulianza kukua kipindi chake.

Kingine aliwastua watz kuwa kuna ufisadi kwenye uvuvi bahari kuu. Alikamata meli lakini kama ilivyokuwa kwenye kutafuta wadhamini maagizo yakatolewa mengine ni historia.
 
atawaelezea matatizo ya watanzania yaliyoletwa na ccm, Lowassa anakuja kuwapa solution.

au mkuu umesahau kazi ya kampeni meneja.

kwa hiyo hesabu rahisi utajua nani atajaza watu.

ila kazi kubwa atamsaidia lowasa ni bariadi, sengerema na muleba
 
haahha kweli watz kwa uongo hatujambo
weka facts ivi kweli ingekuwa hivyo nchi zima ingerindima
Vyomba vya habari vingeshika kasi ya ajabu
Picha zingerushwa mitandao yote ya kijamii
 

Ungekuwa ni mkandarasi au mhandisi ungeona kinachotokea katika game

Zipo class 1 zetu zinazofanya kazi hadi nje ya nchi
Lakini wabongo wengi hawajui management ya company ndio shida kubwa
Nafasi zinatolewa Ila tunashindwa wenyewe
Tatizo kubwa lipo kwa wabongo Sio kwa wizara
 

Mbona sio kazi ya waziri kuongeza class za wakandarasi, ujasiriamali hauhitaji mbeleko na wote hamuwezi kuwa wajasiriamali kwa kiwango hiko.
 
Anapozungumzia kufufua viwanda atuambie nani aliviua ikiwa wenzake waliotangulia wameshiwa hata kudhibiti wanyama wetu yy atawezaje atueleze kwanza udhaifu wa watangulizi wake kisha atuambie atarekebisha

Lowasa nd his co, karamai,chenge
 
ataiteka kisiasa ila LOWASSA ATAITEKA KWA KURA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…