mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10
Ana ugonjwa mkubwa wa moyo muda mrefu sana na kama sikosei alishafanyiwa operation kubwa ya moyo!!! Ila utashangaa wanatupa mawe kwa Rais Mteule Lowassa.Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10
loliondo nako alikuepo,pigia mstari
Naona vidole vilivyo weka peoples
Tatizo lako ww mambo ya jikoni unafanyia chooni,hapa tunafanya siasa maswala ya Mungu take them to church.Na wewe ni mmoja wapo wa wanaoishi duniani, acheni kubeza alichokiumba Mungu kwa mfano wake ,
Nimepenyezewa video clip inayoonyesha magufuli akizomewa mbeya, na kukutana na alama ya vidole viwili (inayotumiwa sana na chadema), mpaka ikabidi nayeye atumie vidole viwili, kuonyesha vijana waliokuwa barabarani kwamba nayeye anakubali upande wa pili.
Tatizo sio magufuli, tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi, ni mfumo wa CCM, na lichama lao la kuneemeshana wenyewe, huku wakigandamiza haki na maendeleo ya wenge.
Pole sana magufuli, hiyo ndio CCM yako, anayokuachia Kikwete, ufe nayo!
Peeeeeeeeeppppoooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!
Tatizo lako ww mambo ya jikoni unafanyia chooni,hapa tunafanya siasa maswala ya Mungu take them to church.
Khaa!! Ule mfumo mbovu mbona umehamia ukawa! Akili fupi kwelikweliNimepenyezewa video clip inayoonyesha magufuli akizomewa mbeya, na kukutana na alama ya vidole viwili (inayotumiwa sana na chadema), mpaka ikabidi nayeye atumie vidole viwili, kuonyesha vijana waliokuwa barabarani kwamba nayeye anakubali upande wa pili.