Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hee kumbe leo kuna mkutano wa kampeni wa Magufuli huko Katavi? Yaani ndio napata taarifa sasa. Duh kweli tingatinga limesahaulika
 

Lowassa ana ugonjwa wa kusahau kama mashabiki wake ..ningekuwa Joti baada ya uchaguzi ningemsajiri Lowassa akajiunge na komedi yetu make ni mwigizaji bora
 
Huyo Sukuhu ni mgombea udiwani wa kata gani huku Kilimanjaro? Naomba kujuzwa
 
Duh mbona hakuna wachangiaji kabisa hapa! Valentina njoo please tuwasaidie kidogo yaani dakika sita nzima mchangiaji ni mmoja? Ajabu
 
Last edited by a moderator:
Kauteka? au kakosa watu kaamua kutembela wagonjwa vituoni!! angeuteka angepata nafasi ya kwenda clinic ya wazazi
 
kweli lowasa maigizo mengi kwa kweli, hafai kuwa raisi, ataigiza sana akiingia ikulu wakati watu tunataka uchumi twende mbele
Maigizo aende kaole
 
I bet you Magufuli will do a similar thing before we vote! Politicians are alike. Ni majuzi tuliwaona wengine wamepanda mitumbwi lake voctoria, na wakilima wakiwa na suti!
 

Hatudanganyiki kudadadeki...picha za kuunganisha kwenye kompyuta hizo
 
Kazi imeanza
Ndugu,
CCM inamalizia tu kazi yake ambayo iliianza baada ya kutangazwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

CCM ina motto inayosema, kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa uchaguzi mwingine.
 
hahaahaa naona watu ni wa kuokoteza hapo hakuna watu kabisa au malori huko hamna.
Ndugu,
Kama huwezi kusoma hata heading ya mada, utaweza kujenga hoja katika msingi wa hoja mbadala?

Wewe unadhani wastani wa kijiji una jumla ya wananchi wangapi?
 
Maskini mama wa watu. Ama kweli ccm wameamua kumdhalilisha!.
 
Watanzania wana shida nyingi sana mtatuzi Wa shida Na lazima akutane Na walengwa ccm shida za wananchi ni kuwatukana tunamshukuru mkapa Mwinyi kikwete warioba n.k.
 
Hakuna mwenye sababu ya msingi ya kutomchagua Magufuli dhidi ya Lowassa
Ndugu,
Hilo halina mjadala kwa wale wenye akili pevu na ambao wanapenda kuufahamu ukweli.

Tutaendelea kuwaelimisha wale kwa sasa wanaitwa nyumbu.
 
Ni vigumu sana kumuelewasha Asiyemuelewa lakini mwisho wa siku Ataonekana Nani ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…