Toka kuanza kampeni za urais mwaka huu, Mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli amekuwa akiomba kura kwa kuelezea zaidi mapungufu makubwa ya serikali ya CCM toka kupata uhuru kwa namna ilivyoshindwa kuondoa Umaskini, Ujinga, Magonjwa, Rushwa na Uonevu katika kipindi cha zaidi ya miaka 50.
Mtindo huu wa kujinadi, watanzania waliuzoea zaidi kuusikia kutoka kwenye vyama vya Upinzani kwa sababu wao hawana serikali hivyo ni vigumu kuwaelezea watanzania mafanikio yaliyoletwa na Upinzani.
Jambo la kushtukiza na kushangaza kabisa mgombea urais wa CCM, Magufuli ameamua kuchagua upande wa kukosoa utawala wa CCM wa miaka zaidi ya 50.
Je, mtindo huo wa Magufuli, una tija yoyote kisiasa kwa CCM kwa wakati huu wa Uchaguzi?
Magufuli anawadunga sindano za ganzi ukawa...subirini awaingize sieta kwa upasuaji ifikapo 25 Oct
wewe ndo unaingiliwa kinyume na maumbile
Toka kuanza kampeni za urais mwaka huu, Mgombea urais wa CCM, John Pombe Magufuli amekuwa akiomba kura kwa kuelezea zaidi mapungufu makubwa ya serikali ya CCM toka kupata uhuru kwa namna ilivyoshindwa kuondoa Umaskini, Ujinga, Magonjwa, Rushwa na Uonevu katika kipindi cha zaidi ya miaka 50.
Mtindo huu wa kujinadi, watanzania waliuzoea zaidi kuusikia kutoka kwenye vyama vya Upinzani kwa sababu wao hawana serikali hivyo ni vigumu kuwaelezea watanzania mafanikio yaliyoletwa na Upinzani.
Jambo la kushtukiza na kushangaza kabisa mgombea urais wa CCM, Magufuli ameamua kuchagua upande wa kukosoa utawala wa CCM wa miaka zaidi ya 50.
Je, mtindo huo wa Magufuli, una tija yoyote kisiasa kwa CCM kwa wakati huu wa Uchaguzi?
Na mtaji wa UKAWA ni ufisadi wa LowasaMtaji wa ccm ni umbumbu wa watanzania, kama watanzania wakiweza kuhoji hilo, hakika ccm itashindwa vibaya sana, lakini hofu yangu ni upumbavu wa watanzania!
kweli yeye ndo wa kusimamia kuzoa taka mjini?
manispa iko wapi tatizo hamjielewi mnachanganya mambo,kwa namna yoyote magufuli ndo rais ule mtandao wa majizi yaliyokalia kiti cha dr slaa kamwe hautaingia ikulu,
Pole sana Mkuu. Kwani Lowasa alipohutubia pale Jangwani aliitaja CHADEMA ama UKAWA? Magufuli amekuwa mtiifu kwa CCM siku zote. Huwezi kuanzisha propaganda za kipuuzi wakati huu
wanaukumbi
nimefuatilia hotuba ya umimi ya magufuli toka viwanja vya majimaji songea nikabaini kuwa hakuitaja ccm hata mara moja.
Badala yake utasikia songea hoyeee..mimi magufuli...mniamini,mimi magufuli najua kazi...mimi..magufuli nataka..ukawa wanadanganya mimi ntawatumikia..
Je kuna ugombea binafsi hapo?
Mgombea kuweka umimi yaonekana katumwa,baada ya hapo watamremot sana tu..nadhani ifike sehemu wagombea tuwapime kwa uongozi shirikishi..
Sio mimi nilifanya nikiwa wapi kwa hiyo naweza.
Yajionyesha tutampata kiongozi wa kutekeleza mawazo yake hata akiamka asubuhi bila kushirikiana na wananchi waliomchagua.
Kusema sana,kujua kilomita za barabara sio uongozi..kichwa kinatakiwa kitulie.
Tahadhari.