Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

UKAWA wanavyoziona hiz picha wanapagawaa teh teh poleen
huku Missungwi ni MAGUFULI kwanza wabunge fanyeni kampeni
 
Haooooooo watuuuuuu wa mpandaaaaaaa

woteeeeeee wachekiiiiii vizuriiiiiiiiiii ni


UKAWAAAAAAAAAAAAA... kama una akili utajua
 
hapo wengi wamekuja kumwona jamaa alkyeshindwa kuwajengea barabara bora kijijini mwao......kama anaweza awape ruhusa wamuulize maswali ndo atajua wengi hapo wameshaichoka ccm
 
Mwacheni amfagilie lowasa njia hivi ccm itawaambieaje watanzania mana watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana
 
Mla, hakuna kitu. Ina maana nipo Moshi na nisimwone? Kaja kwa kuvizia labda!
 
Huo sasa ndio ukabila tunaousema. Yaani ccm ifutwe kwa kuwa chadema imeanzishwa na wachaga sio!
hapo sio uchagani hapo ni upareni kwenye ngome ya ccm lakini naona kama ni kikundi cha saccos wameitana kwa dharura. a.k.a gharika
 
Safi mama chapa kazi wewe ni mama mwema utamsaidia vema magufuli hasa kuweka bayana changamoto zinazowakabili wanawake wenzake.
 
Mwacheni amfagilie lowasa njia hivi ccm itawaambieaje watanzania mana watanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana
Huyo fisadi mahakama yake inaandaliwa ajipange kujibu mashitaka yake ya ufisadi.
 
Hebu angalia hawa watu .......unafikiri wameenda kufanya nini pale uwanjani! angalia pia nguoa walizovaa !
 

hakianani we umetekenyeka subiri kivumbi cha Edo ndo mtataharuki na kuvaa chupi kichwani
 
Sio kila anayekusanyika kwenye mikutano ya kampeni za ccm ni mwanaccm, wengine wanakwenda kusikiliza hoja ili wajiridhishe kabla ya kupiga kura kama mgombea anakidhi ubora. Hivyo kujazana siyo kigezo cha kukubalika. Mwamuzi ni oktoba.
 
Mbona Wananchi wamevaa nguo nyekundu??? Kweli UKAWA ni tatizo la Kitaifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…