Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu



SIGNED BY: Dr. JOHN POMBE MAGUFULI PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Bado muda mufupi sana atasaini document ya kukamatwa kwa fisadi anayesumbua bodaboda na fedha yake ya richmond
 
Hapa kazi mafuriko peleka kwa malofa huuuuukooooo!

Kama ukawa kuna mafuriko huku kwetu CCM kuna gharika na tunasubiri kupeleka msiba kanda ya kaskazini baada ya uchaguzi kwani hawataamini hali halisi na mazingaombwe ya mafuriko ya bodaboda wanaojaziwa mafuta lita tano wanaehuka.
 
Salaam JF.

Katika kufuatilia kampeni za Mgombea wa CCM Mh.Magufuli, nimegundua kuwa hapendi kufuatana na wajumbe wa kamati ya kampeni.

Wajumbe hao mara nyingi hufuatana na mgombea mwenza Mama Samia Suluhu.

Nafikiri anakwepa matusi ya kina Lusinde Kibajaji.
 
Wenye harufu ya ufisadi hawawezi kuendana na magufuli maana wanajua ata kama ni wenzako watalia tu
 

Jadili sera za mgombea na vipaumbele vyake.
Achana na hizi mambo.
Je unawajua makamanda wa chadema walioko katika msafara wa Lowassa. Wamemtelekeza magamba Sumaye na Masha
 
Mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chama chama Mapinduzi CCM, Ndg. John Pombe Magufuli amefanya mwendelezo wa kampeni zake katika mkoa wa mtwara ambapo maelfu ya wananchi na wapenzi wa chama hicho wamejitokeza kumsikiliza akinadi sera zake









 
[h=2]MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA[/h]





  • Wananchi wamkubali kwa uwezo wake wa kujieleza, sera ,ilani na mipango ya kuleta maendeleo huku akiwa yeye mweyewe bila kuwa na msururu wa watu wa kutanguliza kuhutubia.
  • Ahutubia mikutano mikubwa Laela, Tunduma,Isongile,Vwawa
  • Asema ataondoa urasimu mwingi serikalini
  • Elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne
  • Kuboresha huduma za afya haswa upatikanaji wa madawa
  • Kuboresha malipo pamoja na haki za walimu
  • Anaamini kwa anachokisema kwani amekuwa mfano katika kutimiza wajibu wake.

​

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma tayari kuhutubia mkutano wa kampeni.

​
Wananchi wa Tunduma wakizingira gari la mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Tunduma.
​
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akizungumza kabla mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John pombe magufuli hajahutubia wakazi wa Tunduma.
​
Wakazi wa Tunduma wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Tunduma .
​
Ni shamra shamra kila kona Tunduma
​
Hivi ndivyo Tunduma ilivyofurika
​
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la tunduma kupitia CCM Frank Sichalwe akitaja mambo ya msingi muhimu ambayo angependa wananchi wa Tunduma wayapate, alisema wananchi hao wanahitaji huduma bora ya afya, magari ya wagonjwa, zimamoto, kiwanja cha michezo, kushoto ni mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiandika hayo mahitaji.

​


​


​


​


​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha msisitizo wa yale anayoyasema kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Tunduma.
​
Hii ni Barabara kuu inayounganisha Tunduma na Rukwa ambayo ni moja ya barabara nyingi nchini zilizojengwa chini ya usimamizi wa Dk. John Pombe Magufuli
​
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa, Mhe. William Lukuvi akihutubia wakazi wa Laela kabla ya kumkaribisha mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kuhutubia kwenye uwanja wa Laela A.
​
Wananchi wa Laela wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​
Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisali sala maalum na watawa wa kanisa katoliki waliofika kwenye mkutano wake Laela, kulia ni Sister Christiana na kushoto ni Emiciliana, mwingine pichani ni Mhe.William Lukuvi.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na kijana mwenye ulemavu Joseph mkazi wa Laela mara baada ya kumaliza mkutano.
​
Dk. John Pombe Magufuli akiwapa mikono ya heri madiwani wanaogombea udiwani la Kwela
​

​

​

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ileje Janet Mbene Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015- 2010 kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kiwanja cha mpira Isongile
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ileje Janet Mbene kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kiwanja cha mpira Isongile
​
Wananchi wa Vwawa wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Vwawa ,Mbozi.
​
 
Toka jembe letu Lowassa asimamishe mitaa yote ya JIJI, leo kila mtu anajidai ANA-SIMAMISHA, hata wale ambao wanajulikana HAWA-SIMAMISHI....nao wamejitokeza eti nao WANA-SIMAMISHA.....makubwa!
 
Ww unaijua Tunduma au unaisikia tu. Waulize wanaccm toka anatoka Magufuli Tunduma kama wamewahi kufanya mkutano wowote.
 
baada ya ccm kuamini katika democrasia;

kuachia kila mtu kugombea , na si chama kuchagulia watu

wajumbe hawapati shida.

Raisi kikwete yupo anakula kuku ikulu; mgombea sio mzigo

 

ni mazuzu tu kama wew wanaodanganyka kwa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…