Ni kama ukiunganisha picha zote hizo unapata mikutano miwili tu ya Lowasa
Una hakika gan wote hao wata vote for CCM cz hata mikutano ya Edo ina watu kibao vile vile.
Tatzo la hawa Green Team wanajaribu kuaminisha watu kwamba idadi ya wanaohudhuria mikutano yao = idadi ya kura watakazo pata.
#Fikiri.
Huo upande wenu umeusahau?
MBAVU ZANGU YAAAAAAN HAO NDIO WATU KWEL WAKAT MBUNGE WETU JUALIKALI ANAUMATI HUO UKASOME!!!!!!MTAKOMA TUTA COMPARE LOWASSA AKIJA SASA MLINGANISHE NA HAO WANAWAKE WASIO NA TV WALA REDIO HAWAJUI KAMA TWIGA WANAPANDA NDEGE NDO MAANA WANASHANGAA HAPO!!!!!!oooo
Watuonyeshe risiti ya TRA waliyolipia plate number hiyo.
rais ni edward lowassa kama hukubariani na hili we ni mpumbavu
Unakumbuka shuka kumekucha..kuondoa mafisadi wakati tayari wanagombea ubunge
rais ni edward lowassa kama hukubariani na hili we ni mpumbavu