Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Magufuli ndiye kiongozi sahihi kwa nchi yetu, kiongozi mchapakazi, msafi, muadilifu na mfuatiliaji katika utendaji wa shughuli za kimaendeleo, tanzania tumesema yes ushindi daima
 
wanafanya vizuri sana kurudisha unawezaje kuendelea kuwa ndani ya chama kilichokosa mwelekeo, chama hakina sera, hakina chochote wanaongoza kwa kukurupuka tuh.
 

Kuna kitu umekiona hapo kina advantage kwa jamaa..
 
Halafu sipendi tabia ya mwanachadema anaependa kuongelea uwingi wakati yuko mmoja eti rais wetu sema raisi wangu usiseme tunamchagua sema nitamchagua
 
Mleta mada hujui kwamba kwa mkoa wa tanga ccm ikiweka hata jiwe inashinda kwahiyo hakuna haja ya ukawa kwenda maeneo kama hayo uliyoyaonesha hapa. Pita uko unajua. Huko ndo kuna watu wasiojua kama kuna vyama vingi. Kwanini kuharibu rasilimali kwenda kwediboma na kibirashi?
 

Hapo makada wamepiga mbiu wiki nzima kuwaita watu kuja barabarani hivi unafikiri hii ni accidental watu walikuwa na shughuli wakakutana na Magufuli njiani? Ona hizo sare za magamba ndio utajua watu wametoka majumbani saa 11 asubuhi kwa ombi kutokaviongozi wa mitaa ndo unawaona hapo. This is not Voluntary gathering like that of UKAWA. Makusanyiko ya CCM ni coerced ndio maana pale Morogoro watu wamekusanyika hadi kuuana kama sio kafara ni kitu gani hicho
 

Mkuu "umewazalau" sana wajomba zangu. Kumi huanza moja!
 

Mnataka Kutawala Tanzania ya wapi kama mnachagua maeneo ya kwenda?
 
absolutelly true!!hawa wakijjn ndo huwa wengi wanapiga kura kuliko hata wa huku mjini wengi mishemishe nying
 
Reactions: nao
[h=3]
[/h]

Mh. Magufuli amekuwa akipokea Malundo ya Kadi za Wapinzani katika mikutano yake. Hii ni ishara tosha kuwa Watu wamechoka ahadi dhaifu za Ukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…