Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hivi wewe unadhani kuna ugumu wowote kwa JPM kushinda? Unajidanganya, Lissu hana ubavu wa kupambana na Magufuli yule ataambulia 5% ya kura zote.
 

Una maana hizi nyomi tuslazoziona mikutano ya CDM mwishowe hulipa pia pesa?

Nini siri yao ya kupendwa hivyo?

Jiwe na CMC watakuwa na cha kujifunza.
 
Mambo mengine ni ya ajabu sana. Ukiangalia kwenye ratiba ya kampeni kwa mgombea wa ccm, imeonesha siku atakapo pumzika. Pia niwaambie cdm. Jembe litaendelea kuikanyaga nchi nzima kwa gari.
Huku akyjaber-jamber
 
Una maana hizi nyomi tuslazoziona mikutano ya CDM mwishowe hulipa pia pesa?

Nini siri yao ya kupendwa hivyo?

Jiwe na CMC watakuwa na cha kujifunza.
Pesa uchaguzi huu kwa upande wa CDM hakuna. Ndio inaombwa hiyo michango.
Nyomi mara nyingi inadanganya watu. Wengi hawaendi kupiga kura hata kama wanacho kitambulisho.
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
hali ni mbaya usifanye mchezo,zisikilize vizuri kauri za viongozi wako utajua hilo,ila kwa wewe huwezi jua,na hata ukijua huwezi kutambua kwa kuwa unamacho lakini huoni.
 
Kudai pesa zetu za malipo sio hoja kumbe? Wewe unalipwa kutokea wapi, kwa polepole directly au?
Achana naye huyo kilaza wa Lumumba! Katumwa humu ili kuja kuharibu mijadala na hao kina polepole
 
Mwambieni mgombea wenu aache kupiga punyeto, avumilie mpk October 28.
Tutampoteza mapema
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Nakupenda ccm ila naka nikwambie hali sivyo unavyo fikiri wenye akili wanalia na hata yeye anajuwa KAZI ipo uwenda kuna mambo hakuyaona au alidanganywa Mungu ajuwa ila Sali Kwa dini yako ukijuwa uchaguz hautokuwa kama walivyo fikiri. Why watu wamebinywa Sana SASA wameachiwa wanalipuka hata kuwazuwia kaz ipo
 
Wanafunzi ndio wapiga kura wa kesho, tatizo CHADEMA mmjezana wengi wenye fikara zisizo ona mbali
Fikra za kuona mbali wapi?watanzania amkeni chama toka 1977 bado MNA imani tu?ajira zipo wapi Leo baada ya miaka yote hiyo?hali ya biashara na mazao ya biashara yako ktk hali ipi?
 
Wote hao wanamjibu Lissu? Amakweli Lissu yupo juu
 
Gari la mkaaa tripu shamba, tripu gereji, kelele nyingiii.. DADEKI.
 
Kwann yuko kwenye kampeini?
 
Kweli vuasi haviishi. Hamjui huyu yopo madarakani, ana majukumu ya kiofisi tofauti na mwaka 2015 au tofauti na Lissu?
 
Baada ya kuona kampen za mwaka huu ni laini,mzee ameamua kula bata kwanza kusogeza muda,akitoka tu upinzani kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…