Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mwambie aache kutumia wasanii katika kampeni uone maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aache kutumia wasanii katika kampeni uone maajabu
Binti ulipotelea wapi,au mpini ulikukolea ukapasahau hapa?Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Kwa wizi wa kura inawezekana. nje hapo ni chali mapema.
Sijaona pushapu.Sasa inakuwaje yule aliyekaa hospitali miaka mitatu anaonekana ngangari zaidi kuliko yule aliyekaa kwenye kiyoyozi Ikulu miaka mitano?
Hana woga, muulize Prof. Kabudi kutwa kucha kueleza balozi UK na US uchaguzi utakuwa huru na haki. Ingia control room utajua kunachoendelea hapa Tanzania.Ingawa ni mgombea, bado pia ni Rais wa nchi kwa hiyo hawezi kutumia muda wote kwenye kampeini na kusahahau majukumu ya uraisi. Halafu kama angekuwa na woga, ndipo angekuwa anafanya kampeini usiku na mchana lakini kwa vile hana hofu basi anaweza kuchukua time-off ili kufanya mambo mengine.
October 28 ndiyo fainali.
Hakuna kiongozi yeyote wa ccm mstaafu na hata wa sasa mwenye ushawishi kwa wananchi , watu wametekwa na kuuawa hakuna aliyenyanyua mdomo kupinga , leo hii watasema nini mbele ya wananchi wanaopoteza ndugu zao kila uchao kwa kutekwaKumbuka uchaguzi ni mwezi ujao tena mwishoni na safari hii kampeni inafanywa na viongozi wakubwa wote katika mikoa tofauti tofauti.
CCM wanafanya kampeni za kisayansi😁😁😁 kampeni zenye matokeo chanya.... na sio kampeni za kulalamika kuonewa kutwa na kutishanaMambo mengine ni ya ajabu sana. Ukiangalia kwenye ratiba ya kampeni kwa mgombea wa ccm, imeonesha siku atakapo pumzika. Pia niwaambie cdm. Jembe litaendelea kuikanyaga nchi nzima kwa gari.
Kuna ubaya gani mtu kupumzika? Ukijadili suala hili bila mwegemeo wa kisiasa utaona hakuna tatizo mtu kuamua kupumzika. Safari ya Dodoma mpaka musoma, Mwanza Geita wakati huo anaongea kula mahali Kuna shida gani hapo mtu akipumzika. Badala ya kujadili issue ya mtu kupumzika, ambayo ni kawaida,tungepiga kelele humu mitandoni jinsi ambavyo mawakala la tume ya uchaguzi( wakurugenzi) walivyoharibu uchaguzi huu kwa kuengua wagombea. Inaumiza kuona uchaguzi unageuka kuwa uteuzi. Inawezekanaje mnaenda kupiga kura kwenye kinachoitwa uchaguzi huku tayari almost theluthi ya madiwani ameshapita bila kupingwa? Kuna wabunge wameshapita pia. Hii mentality ya kuona Mambo mazuri katika wapési wa kifikra itatusaidia? Kujadili mtu kakata pumzi au napumzika kwangu Mimi ni dhana ya kukupa Mambo madogo kwa gharama ya Mambo muhimu. Let's change.Mwingine anaweza kusema mwaka 2015 alitumia nguvu kubwa na akapita maeneo mengi kwa sababu kazi ilikuwa ngumu hata matokeo ya Uraia yalisadifu hilo.
Mwaka huu kazi ni nyepesi mno, kila mtu anaona kinachotokea, mwitikio wa Raia kwake na kwa wapinzani wake. ACT wameshanyosha mikono, CDM ndiyo Kama hivo, Juzi uliona Raia wa pwani Kama vile hawamjui, Jana Morogoro mjini umeona hali mwenyewe, kule Mheza ilikuwa aibu. Hata Makamanda tangu Mlivyoposti picha za Mbeya, hamjaposti tena, utafikiri Mgombea wenu yupo likizo naye.
Sasa kwa namna hiyo kwanini asipumzike Budha. Game imekuwa nyepesi mno.
Kama umegundua, wanachokifanya CCM baada ya uhakika wa Kushinda, ni kuhakikisha mtu anapata kipigo cha mbwa koko, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Umesahau pia anakubalika kwa 100% na wasimamizi wa uchaguzi.Rais Magufuli anakubalika na Watanzania 95%
Umesahau pia anakubalika kwa 100% na wasimamizi wa uchaguzi.
Mhh ulipoteaKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mhh ulipotea
Karibu tena.,
Ulikula ban ama?.
Kwani mshazindua kampeni mimi naona fiesta tuKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Kwani mshazindua kampeni mimi naona fiesta tu
Hadi chumba kwa chumba mshamaliza kumbe mko vizuri😂😂😂😂Kampeni ya kitanda kwa kitanda inaendelea, naomba email yako nikufikie
Kaka sijui Dada, vipi kuhusu malipo yetu ya leo huko? Tunapata ugumu sana kutetea chama chetu huku tukiwa na njaa ujue.Wanafunzi ndio wapiga kura wa kesho, tatizo CHADEMA mmjezana wengi wenye fikara zisizo ona mbali
Madukuduku ya watu wanajibiwa na rais kwa muda wote anaokuwa ikulu.
Msafara unaposimama njiani rais huongea na watu na kuwauliza shida zao,anachokifahamu katika vikao vya aina hiyo ni zaidi ya mbwembwe za midahalo.